Posted by: RaphaEl JL | June 6, 2009

The Life of Daniel as Hidden in Christ Jesus-I


 Unajifahamuje na kujielezeaje?

(1 timotheo 4:12)

Ufahamu wako umefungwa na kufichwa ndani ya Neno la Mungu, hakuna mahali pengine popote pa kujijua nje ya Neno la Mungu. Maisha yako yamefichwa humo, shule yako imefichwa humo, mume na watoto wako wamefichwa humo, chakula na mavazi yako vimefichwa humo, hivyo maisha yako yote na mwanzo na mwisho wake vimo ndani ya Neno. Nje ya hapo umepotea. Wewe kama kijana ni muhimu kujiuliza maswali kadhaa yatakayokupelekea kujiona kama vile Mungu anavyokuona.Unaifahamu habari ya Daniel na huenda ukawa unatamani kama ungekuwa kama yeye au hata sasa unatamani kuwa kama yeye-hiyo ni nzuri lakini ni lazima ujifunze siri iliyokuwa ndani yake.MAISHA YA DANIEL YALIFICHWA KATIKA YESU KRISTO-hii ni muhimu kwako kama kijana kuja maana ndiyo msingi wa kumfahamu Daniel-THE LIFE OF DANIEL WAS HIDDEN IN CHRIST JESUS.Na hapa ndo mahali pa kujenga msingi wa huko tunakoendelea,hivyo ni vizuri ukanielewa.Kunielewa huku ni lazima kufanywe imara ndani yako katika Roho Mtakatifu maana mabadiliko yatakayofuata mara baada ya kunielewa ni ya kudumu.

Kwanza kabisa tusome 1Timotheo 4:12,”Mtu awaye yote asiudharau ujana wako,bali uwe kielelezo kwao waaminio,katika usemi na mwenendo,na katika upendo na imani na usafi“.Sasa tunaanza hapo,mtu awaye yote maana yake nini na itatusaidiaje kuelewa?………itaendelea

Emptying for children and youths

Children and Youths needs to hear how they can make it-and we are their vision and destiny,wanaposikia tulivyopita katika mapito wanayopitia wanajua kuwa hata wao wataweza.Tukiwapa muda na kukaa nao wanaweza,usisahau vijana ndio rasilimali na nguvukazi ya kujenga taifa lenye heshima.


Responses

  1. Forgetting those things which are behind -both the past failures and past blessings-we must reach forth for those things that are before us and ‘press towardn the mark for the prize of high calling of God in Christ Jesus (Phil 3:13.

    We must ovecome spiritual stagnation and economic drawbacks which has plagued the christian community.Now is the time and youths of today will be answereable for the generation to come.Daniel initiative is a direct response to fill this Gap.God bless all tthe participants in this initiative and give them more insight as to what what God desire for this generation of youths to acomplish .


Leave a comment

Categories